|
Kocha
Mkuu wa Cameroon, Jean Paul Akono (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari
kuhusu mchezo wa kesho wa kimataifa dhidi ya Tanzania, Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchana wa
leo. Kulia ni Nahodha wa Cameroon, Pierre Wome na kushoto ni Meneja Rogobert
Song. Kocha huyo amesema mechi ya kesho itakuwa nzuri na ngumu kwa sababu
Tanzania ni timu nzuri. Amesema kwa sasa Afrika hakuna timu ndogo, hivyo
haidharau mechi hiyo. |
|
Kocha
Mkuu wa Cameroon, Jean Paul Akono (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari
kuhusu mchezo wa kesho wa kimataifa dhidi ya Tanzania, Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchana wa
leo. Kulia ni Nahodha wa Cameroon, Pierre Wome na kushoto ni Meneja Rogobert
Song. |
|
Meneja
wa Cameroon, Rigobert Songa akifurajhia jambo na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean
Paul Akono kulia |
|
Hapa
wanasikiliza maswali ya Waandishi wa
Habari |
on Tuesday, February 5, 2013
Post a Comment