Baadhi ya Wasanii watakaotumbuiza
kwenye tamasha hilo wakiwa kwenye picha ya pamoja,mapema leo asubuhi
mara baada ya kumaliza mkutano wao na Wanahabari ndani ya ukumbi wa
hoteli ya Bell Monte,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii mahiri,Mr
Blue,ambaye pia atashiriki kutumbuiza kwenye tamasha hilo akitoa vionjo
kwa Wanahabari (hawapo pichani).
Mratibu wa tamasha hilo kutoka
kampuni ya Prime Time Promotions Ltd,Lumuliko Mengele a.k.a Dj Mully B
akifafanua kuhsiana na maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika kwenye
ufukwe wa Coco beach,februari 10 jijini Dar Es salaama,Shoto kwake ni
baadhi ya wasanii watakaoshiriki tamasha hilo.
Pichani
shoto ni Meneja wa chapa ya Tigo Bwana William Mpinga akifafanua jambo
mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi huo akisema
"Tigo ina fahari kubwa kwa jinsi ambavyo inawajali na kuwapa thamani
wateja wake kupitia bidhaa zake mbalimbali za mawasiliano.
Post a Comment