Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe
kufungua zawia ya Tumbatu Jongowe,alipohudhuria katika maulidi ya Mtume Muhamad
(SAW)
yanayosomwa kila mwaka
katika kijijini hapo
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitia
ubani kuyafungua Maulid ya Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika jana
Tumbatu Jongowe,alipohudhuria akiwa mgeni rasmi,(kulia) Kadhi Mkuu
Sheikh Khamis Haji
Mwanafunzi Mhadi Haji
Vuai, wa madrasa Nurmunawar ya Tumbatu Jongowe akisoma maulid ya Mtume Muhammad
(SAW) mlango wa kwanza
Wanafunzi wa madrasatul
Maamur ya Tumbatu Jongowe wakisoma Qaswida wakati wa maulid ya Mtume Muhammad
(SAW)
Baadhi ya Akina Mama wa
Tumbatu Jongowe na Vijiji Jirani walioalikwa katika maulidi ya Mtume Muhammad
(SAW) wakiwa nje ya zawia ya kijijini hapo palipofanyika Maulid
hayo
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)
akitiliwa marashi wakati wa kumswalia Mtume Muhammad (SAW),yalipofanyika Maulid
huko Tumbatu
Jongowe
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi
maalum kutoka kwa mwanafunzi Mohamed Haji Mohamed,iliyotayarishwa na wazee wa
Tumbatu
Jongowe wakati wa Maulid
ya Mtume Muhammad (SAW),
Baadhi ya waumini wa
Dini ya Kiislamu wa Tumbatu Jongowe na Vijiji Jirani walioalikwa katika maulidi
ya Mtume Muhammad (SAW) wakiwa katika zawia ya kijijini hapo palipofanyika
Maulid hayo.
Post a Comment