Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

FASTJET YAKANUSHA KUNYANG'ANYWA LESENI YA BIASHARA.

 


Kupitia ukurasa wao wa Facebook leo Shirika la ndege nchini la Fastje limekanusha kwa kile kilichoandikwa magezetini kuwa shirika hilo limenyang'anywa leseni ya biashara; soma hapo chini.

"Pamoja na habari katika magezeti ya leo, biashara ndani ya kampuni ya fastjet inaendelea kama kawaida. Madai yanayotukabili ya kunyang'anywa leseni hayana ukweli wowote.

Tunaendelea kufanya kazi na ndege zetu katika nchi ya Tanzania kama kawaida na bado tunazidi kuzindua vituo vipya kama ilivyopangwa. Huu ni uzushi wa baadhi ya watu au kampuni zenye chuki dhidi ya kampuni ya fastjet, kusudi lao ni kudhoofisha uaminifu na kuharibu sifa za bidhaa zetu za fastjet.

Ofisi zetu na vituo vyetu vya kuuzia tiketi bado viko wazi kwa ajili ya bookings na Kwa tiketi zilizolipiwa pesa haitarudishwa.

Tutatoa tamko rasmi baada ya masaa machache.

www.fastjet.com
+255 685 680533 / +255 658 680533 / +255 767 00790"
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top