Naibu Spika Job Ndugai akiongea na Ujumbe kutoka Baraza la wawakilishi Zanzibar uliofika Bungeni Dodoma ukiongozwa na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Abdallah Ali (wa pili kushoto) kubadilishana uzoefu katika maswala ya Uwendeshaji shughuli za Bunge. Wengine kutoka kulia ni Mhe. Ali Abdallah Ali Pamoja na Mhe. Mahamoud Mohamed Musa, Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi, Mhe. Mgeni Hassan Juma, Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi pamoja na Ndg. Amour Amour, Katibu wa ujumbe huo
Naibu Spika Job Ndugai akiongea na Ujumbe kutoka Baraza la wawakilishi Zanzibar uliofika Bungeni Dodoma ukiongozwa na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Abdallah Ali (wa pili kushoto) kubadilishana uzoefu katika maswala ya Uwendeshaji shughuli za Bunge. Wengine ni Mhe. Mgeni Hassan Juma , Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi, Mhe. Mahamoud Mohamed Musa, Mwenyekiti wa Baraza la wawakilishi, pamoja na Ndg. Amour Amour, Katibu wa ujumbe huo. Kulia ni Mhe. Sylvester mabumba Mwenyekiti wa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Picha na Owen Mwandumbya
Post a Comment