Kwa wiki kadhaa taarifa zilisikika sehemu mbalimbali Tanzania kwamba mwigizaji huyu mgonjwa amekwamba Msumbiji hivyo alihitaji michango ya Watanzania ili arudi nyumbani, ni kweli alikwama lakini alifanikiwa kurudi Tanzania wiki iliyopita.
Yote aliyoyasema kuhusu anachoumwa na mengine yatasikika kwenye AMPLIFAYA Feb 11 2013 saa moja usiku CLOUDS FM.
.
Credits: Millard Ayo
on Monday, February 11, 2013
Post a Comment