Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAPA NI WAREMBO TU .... LAKELAND AFRICA WADHAMINI UTALII WA NDANI , MISS UTALII TANZANIA 2012/13

 

Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo.
Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania Pamoja na washiriki wengine wakikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa safari ya Kitalii Bagamoyo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa katika moja ya Kaburi maarufu la Wapendanao.
Washiriki wa Miss utalii Tanzania wakiwa katika jengo la Ngome kongwe Bagamoyo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wamewasili BAraza la Michezo Tanzania(BASATA) kwa ajili ya uzinduzi wa safari yao kuelekea Bagamoyo
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Fukwe za Bahari Bagamoyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top