Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na Waandhishi wa Habari masuala mbalimbali ya Mahakama Ofisini kwake Vuga Mjini Zanizbar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR).
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano ulioitishwa na Jaji Mkuu wa Zanizbar Omar Othman Makungu kuzungumzia masuala mbalimbali ya Mahakama Ofisini kwake Vuga Mjini Zanizbar.
Post a Comment