Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAADHIMISHO YA MIAKA 36 YA KUZALIWA CCM ZANZIBAR.

 

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shen, akipokea kikombe kutoka kwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi na Familia ya mwakilishi wa Jimbo la Bububu Husein Ibrahim Makungu (Bhaa) waliozamini mashindano yatakayoshirikisha timu za Mikoa 6 ya Zanzibar,katika kusherehehekea miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM, alipozindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shen, akimkabi Vifaa vya Michezi Ali Yussuf Mussa wa Mkoa wa Kusini Unguja, vilivyotolewa na Mwakilishi wa CCM Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi na Familia ya Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Husein Ibrahim Makungu (Bhaa) mashindano ya kusherehehekea miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,kwa timu za Mikoa 6 ya Zanzibar, alipozindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top