Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara
aliofanya leo jioni mjini Kibondo siku ya mwisho ya ziara yake wilayani humo
ambayo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambazo kilele
chake kitafanyika Jumapili hii, kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini
Kigoma
Yohana Kabwe kutoka Chadema akipokewa na Kinana kurudi CCM, wakati wa mkutano huo
Mmoja wa vijana ambao ni wanachama wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi na Kinana kwenye mkutano huo akifurahia kupata kadi hiyo wakati anaondoka jukwaani baada ya kukabidhiwa
Wanachama wapya wa CCM wakiwemo wa kutoka Chadema na NCCR Mageuzi, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi na Kinana kwenye mkutano huo. Wanachama 45 walipewa kadi.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameamua kwenda kukaa kwenye magogo waweze kumuona vizuri Kinana wakati akihutubia mkutano huo
Kinana akimtuza kijana wa kikundi cha Wize Boyz cha Kibondo kundi hilo lilipotumbuiza kwemnye mkutano huo.
Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa
hadhara aliofanya leo jioni mjini Kibondo siku ya mwisho ya ziara yake wilayani
humo ambayo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambazo kilele
chake kitafanyika Jumapili hii, kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini
Kigoma
Wananchi wenye shauku ya
kumsikiliza Kinana wakiwa kwenye mkutano huoYohana Kabwe kutoka Chadema akipokewa na Kinana kurudi CCM, wakati wa mkutano huo
Mmoja wa vijana ambao ni wanachama wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi na Kinana kwenye mkutano huo akifurahia kupata kadi hiyo wakati anaondoka jukwaani baada ya kukabidhiwa
Wanachama wapya wa CCM wakiwemo wa kutoka Chadema na NCCR Mageuzi, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi na Kinana kwenye mkutano huo. Wanachama 45 walipewa kadi.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameamua kwenda kukaa kwenye magogo waweze kumuona vizuri Kinana wakati akihutubia mkutano huo
Kinana akimtuza kijana wa kikundi cha Wize Boyz cha Kibondo kundi hilo lilipotumbuiza kwemnye mkutano huo.
Kinana wa kundi la Kibondo
Comedy akionyesha machejo ya sarakasi mbele ya wananchi wakati wa mkutano
huo
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana, akimkabidhi kijana wa kundi la muziki wa Bongo Fleva, mbuzi
ambaye alimnunua kwa sh. 300,000 kwenye mnada aliofanya kwa ajili kupata fedha
za kupeleka shule watoto wa wazazi kumi wasio na uwezo katika Wilaya ya Kibondo
ambao wameshajitokeza. Mbuzi huyo ametolewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Venance
Mwamoto. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Post a Comment