Mabalozi wa kinywaji cha
Baileys kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakitoa ufafanuzi kuhusu
kinywaji hicho kwa wageni waliohudhuria Bookers Party iliyofanyika katika
Hoteli Ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wageni
waliohudhuria Bookers Party wakifurahia kinywaji cha Baileys na keki
zilizotengenezwa kwa kutumia kinywaji hicho kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) iliyofanyika katika Hoteli Ya Sea Cliff Jijini Dar Es
Salaam.
Meneja Masoko Wa Dstv
Furaha Samali akifurahia kinywaji cha baileys na keki iliyotengenezwa kwa
kinywaji hicho kutoka kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) katika Bookers Party
Iliyofanyika See Cliff Mwishoni Mwa Wiki.
Meneja Mauzo na Masoko wa
Hoteli ya See Cliff Jean Francois Varet akikabidhi zawadi ya Baileys kutoka
Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa mfanyakazi wa Dstv Gabriel Erinest katika
Bookers Party Iliyofanyika Hotel Ya See Cliff mwishon mwa
wiki
Post a Comment