Kaimu Mkurugenzi wa Biashara, Bi. Mwanamvua
Ngocho, akizungumuza na wageni waalikwa,
abiria waliosafiri na ndege la shirika hilo, pamoja na maofisa wa uwanja wa
ndege la Mtwara (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za
Shirila la Ndege la Tanzania (ATCL) mkoani Mtwara , mara tu baada ya kutua ndege
hiyo uwanjani hapo mwishoni mwa wiki.
Meya wa Mtwara Mikindani, Selemani Mtalika Shilingi
ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za Shirila la
Ndege la Tanzania (ATCL) mkoani Mtwara, akizungumuza na wageni waalikwa, abiria
waliosafiri na ndege la shirika hilo, pamoja na maofisa wa uwanja wa ndege la
Mtwara (hawapo pichani) mara tu baada ya kutua ndege hiyo uwanjani hapo mwishoni
mwa wiki. Kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi wa Biashara, Bi. Mwanamvua Ngocho na kulia ni Meneja Rasilimali watu
na Utawala, Bi. Halima Nabalang’anya. Picha na mwandishi wetu.
Baadhi ya abiria
waliopanda ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), wakitembea kuelekea
katika chumba cha kupumzikia abirai, wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za
shirila hilo mkoani Mtwara iliyofanyika mwishoni mwa
wiki.
Post a Comment