Naibu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akiwa na maafisa wa
jeshi hilo ndani ya gereza hilo ambalo linaendelea kujengwa.
Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi akiwauliza maswali
mbalimbali maafisa wa magereza na baadaye kuwataka kusimamia vizuri ujenzi wa
gereza hilo ambalo litakuwa la kwanza nchini kwa ajili ya kuwahifadhi wafungwa
wakorofi.
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma, SACP Kibana Kamtande
akimfafanulia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mwamini Malemi
(wapili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa wizara hiyo, Agnela
Nyoni (kulia) jinsi ujenzi wa gereza hilo ulivyoanza na
unavyoendelea.
Injinia wa Ujenzi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dodoma,
Salum Omari akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi (kushoto) maeneo
mbalimbali ya gereza maalum la wafungwa wakorofi linaloendelea kujengwa karibu
na Gereza la Isanga mkoani Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Jeshi hilo nchini, Kamishna
Jenerali John Minja
PICHA ZOTE NA KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI
Post a Comment