Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa akihutubia wananchi wa mkoa wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango (2013 hadi 2017 ) wa pili wa kitaifa wa huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi hapa nchini uzinduzi huo umefanyika kitaifa mkoani Dodoma na kuhudhuriwa na Mawaziri mabalozi wanaowakilisha nchi zao pamoja na mashirika ya kimataifa (Picha na Chris Mfinanga).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa Tasaf Bw.Ladislaus Mwamanga kitabu alichokizindua cha mpango kazi cha kitaifa awamu ya pili cha huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi uzinduzi huo ulifanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Wazir Mkuu katika picha ya pamoja na mawaziri mbalimbali, wageni waalikwa na baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.