Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro akirusha mpira golini ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashindano
ya mchezo wa mpira wa pete (Netball) maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 36
ya Chama cha Mapinduzi,yanayotarajiwa kufanyika tarehe 3,Februari kwenye Uwanja
wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro akizungumza na wachezaji wa timu za Mwandiga Queens,Lake
Tanganyika na Mwananchi muda mfupi kabla ya kufanyika wakwa uzinduzi wa
Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete (Netball) maalum kwa ajili ya Maadhimisho
ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi,yanayotarajiwa kufanyika tarehe 3,Februari
kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro akizungumza na wachezaji wa timu ya Shule ya Sekondari ya
Mwananchi wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete (Netball)
maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha
Mapinduzi,yanayotarajiwa kufanyika tarehe 3,Februari kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Mwandiga Queens
wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete (Netball) maalum kwa
ajili ya Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi,yanayotarajiwa kufanyika
tarehe 3,Februari kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Post a Comment