Uwanja wa upigaji kura kupitia POLL SIDE 2 umefungwa rasmi ambapo kura 36 kati ya kura 72 walizopiga Watazamaji wa NGDSHILATU BLOG kwa mada iliyokuwa ikichangiwa ya KITENDO CHA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUMTANGAZA DKT. WILLBROAD SLAA KUWA NDIYE MGOMBEA URAIS PASIPO VIKAO RASMI VYA CHAMA, wamekiona kitendo hicho ni UDIKTETA ; Huku kura 21 zikisema SIYO DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA na kura 16 zikisema NI DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA.
Ahsante sana Mdau kwa kushiriki zoezi hili, jiandae kwa POLL SIDE nyingine.
N.B : Huu si msimamo wangu bali ni matokeo ya kura za Wadau wanaotembelea NDGSHILATU BLOG
Loading...
Post a Comment