Katibu wa Itikadi na Uenezi
wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiangalia matunda ya Mchikichi ambayo
yanaacheshwa katika mapipa kwaajili ya kukamua mafuta ya mawese katika Kijiji
cha Ilagala, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
Wana CCM wa Igalula wakiwa
katika kikao cha ndani na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye.
Katibu wa Itikadi na Uenezi
wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akikagua maendeleo ya ujenzi katika
Kituo cha afya Ilagala.
Nyumba ya Daktari wa
Ilagala
Wakazi wa Ilagala
wakimsikilaza Nape Nnauye
Nape akihutubia wakazi wa
Ilagala ambao walitoa kilio chao kuwa ni mgogoro wa ardhi baina ya Kijiji na
Magereza .
Post a Comment