Bi Irina Bokova (mbele) akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa zanzibar kwa ziara ya siku mbili ambayo atakutana na watendaji mbali mbali wa serikali ya SMZ.
Mkurugenzi mkuu wa Unesco Bi Irina Bokova akipokewa na Waziri wa elimu na mafunzo ya Amali Mhe Ali Juma Shamhuna.
Bi Irina Bokova akisalimiana na viongozi mbali mbali wa SMZ.
Post a Comment