Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt.
Fenella Mukangara akifafanua hoja ya Serikali ya Mfuko wa Mikopo kwa
Vijana wakati wa kikao cha
bunge mjini Dodoma,
leo.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Job Ndugai, akitoa miongozo mbalimbali Bungeni
leo.
Ester Bulaya (Viti maalumu ) na Mhandisi
Hamad Yussuf Masauni (Kikwajuni) kulia wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bungeleo
Dodoma.
Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Bungeni Tundu Lissu
(kushoto) akizungumza na baadhi wa wabunge wa kambi ya upinzani baada ya
majadiliano ya hoja binafsi iliyoletwa Bungeni na Dk. Hamis
Kigwangala (hayupo pichani).
Mbunge wa (Ubungo) John Myika akiwasilisha hoja
binafsi juu ya kuboresha upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka
katika jiji la Dar es salaam Bungeni leo.
Mbunge
Hamis Kigwangala (Nzegakulia) pamoja na
Juma Nkamia (KondoaKusini) wakiunga mkono
hoja Bungeni leo.
Baadhi ya wabunge wakielekea ndani ya ukumbi wa Bunge
leo Dodoma. Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Post a Comment