Mtoto Fransi Mgogi akipewa huduma ya kwanza na Muuguzi wa zamu Hirido Mligo katika kituo cha Afya Migoli.
NA SAID NG’AMILO {MNYALUGENDO]
Jana majira ya jioni ya saa 12;30 kijijini Migoli Punda amng;ata mototo mdogo wa kiume mwenye umli miaka sita mkazi wa kijijini hapa.
Pundahuyo akiwa mitaani akizurula bila utaratibu ilivyo kawaidayao katika maeneohaya alikutana na Mtoto Fransi nakumkamata mkonowake wa kushoto kwa kinywachake na kumning’iniza juu akikimbianae mpaka wananchi walipo msogelea kwa mayowe na kipigo akamuachia.
Baba wa mototo Ndg Franc Mgogi akizungumza na muandishi kwamasikitiko makubwa alisema tukiohili nilaajabu lakini anawasiwasi na haliya huyo Punda ingawa kunakawaida ya Punda kuzagaa bila kujulikana mwenyenao nahuwezi muuliza mtu.
Akiwa katika kituo cha Afya Kope kataya migoli alipopelekwa mtotohuyo alipokelewa na Muuguzi wa zamu Hirida Mligo ambae alipokuwa akimpahuduma kwa bahati mbaya Umeme ulikuwa umekatika toka saa tisa jionihiyo kukapelekea kuwa na giza katika chumba cha Upasuaji.
Ilimbidi muuguzi huyo kutumia taa ya mionzi ya jua ambayo ilikuwa na mwangamdogosana akiombamsaada wa kumulikiwa anapomsafisha eneolililo jeruhiwa akagunduo shimokubwa lililo tokana na jino la Punda likionyesha Mfupa wa nyuma ya mkono juu ya Kiwiko.
Haliiliomfanya muuguzi kumshauli Mzazi akisha mpatia sindano ya kinga inabidi amkimbize mjini jambolililo Mshitua mzazihuyo alisikika akisema uwezowa kukodi Gari hana itambidi alale apande Basi asubuhi kumpeleka Hospitali ya Mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.
Kwabahatimbaya mudawotehuo Dr wa zamu alikuwa hajafika ingawa muuguzi wa zamu alimtuma mlinzi akamuite.
Akizungumza na muandishi Dada mmoja Esta John mkazi wa kijiji Migoli alisema Pundahuyo kaisha fanya matukio zaidi ya hilo alishamuuma mbwa na kuuwa kabisa siku za nyuma na janayake amemuuwa Bata kwa kumkata shingo.
Juhudi za muandishi kumpata Dr wa mifugo kuthibitisha Uzima wa Punda huyo hazikufanikiwa alipofika nyumbani kwake na kupewa nambaya Simu ambayo alipompigia haikupokelewa.
Post a Comment