Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MADABIDA ATIKISA TEMEKE ... AWAFUNDA VILIVYO VIONGOZI WA CCM, TEMEKE

Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida akiunguruma  mbele ya viongozi wapya wa CCM (hawapo pichani) kwenye mkutano wa ndani uliofanyika leo siku ya kuzaliwa kwa CCM Feb 5. Kushoto kwake ni Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Juma Simba Gadaffi
 Viongozi mbalimbali wa CCM waliofurika wakimsikiliza kwa Umakini mkubwa Mwenyekiti, Madabida
 Vijana nao hawakuwa nyuma nao pia walijaa tele kudhihirisha bado wanakipenda sana CCM, aliyeshikilia chupa ya maji ni Mjumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke, Emmanuel John akiyatafakari maneno mazito ya Madabida. Hakika, CCM bado ina mvuto mkubwa sana na wa kipekee kwa Vijana nchini.
 Katibu wa CCM (W) Temeke, Robert Kelenge akisoma taarifa ya hali ya chama na ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ilivyo kwa Wilaya ya Temeke
Mjumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar Es Salaam akiwafunda kwa msisitizo Viongozi na wana CCM wa wilaya ya Temeke.
 Baadhi ya viongozi waliokaa meza kuu. Kutoka kulia ni Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Juma Simba Gaddafi, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa DSM, Ramadhan Madabida na Mwenyekiti wa CCM (W) ya Temeke, Yahaya Sikunjema wakionyesha umakini wao wa kusikiliza hoja.
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar Es Salaam Ramadhan Madabida (kulia) na Mwenyekiti wa CCM (W) Temeke Yahaya Sikunjema wakifurahi kwa kuimba nyimbo. Ukiwa ndani ya CCM unapata raha tupu.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top