Rais Jakaya Mrisho Kikwete
pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa
Kigoma leo Januari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa kuashiria
kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo
.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete,
akiongozana na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya
Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier, mkewe Mama Salma Kikwete,
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na viongozi wengine baada ya
uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
Msanii
Diamond na kundi lake wakishambulia jukwaa wakati wa sherehe za uzinduzi
wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya
Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea mjini
Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi leo
Post a Comment