Mnadhimu
mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu, akitoka ndani ya ukumbi wa
Bunge....
Wabunge
wa upinzani wakisimama kupinga hoja wakati wa kikao cha Bunge kikiendelea, mjini
Dodoma leo.
Wabunge
wa upinzani wakisimama wote kwa pamoja ukumbini.
Naibu
Spika Job Ndugai (kulia) akijadiliana jambo katika makabrasha na Mbunge wa
Aurmeru Mashariki Joshua Nassari, baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge baada
ya kutokea kutoelewani ukumbini humo, wakati wabunge wa upinzani walipokuwa
wakipinga hoja.
TUNDU
lISSU na Mchungaji Msigwa (kushoto)
Naibu
Spika Job Ndugai (kushoto) akijadilia jambo na Tundu Lissu, nje ya ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma, leo.
Post a Comment