Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akikata nyama kuashilia uzinduzi wa shindano la
Safari Lager Nyama Choma linalotammbulika kwa jina la “Safari Lager Nyama Choma
Competition 2013”lililozinduliwa TBL jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Jaji Mkuu
wa shindano hilo, Douglass Sakibu.
Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa uzinduzi wa shindano la Nyama Choma 2013 kwa Bar mbalimbali
lijlikanalo kama ‘’Safari Lager Nyama Choma Competition 2013” liliofanyika TBL
jijini Dar es Salaam .Kulia ni Jaji Mkuu wa shindano hilo, Douglass Sakibu na
mratibu wa Shindano hilo, Peter
Zacharia.
Post a Comment