Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando
akitangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea kwa mwenzi wa Februari
ambapo wateja 40 wameamka mamilione, kulia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane
Matinde
Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwa
katika picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya Amka millionea mara baada ya
kujaza fomu za uhakiki wa ushindi wa promosheni hiyo.
Afisa uhusiano wa Airtel
Jane Matinde akiwaelekeza washindi wa Amka millionea namna ya kujaza fomu zao
uthibitisho wa ushindi mara baada ya kutangazwa washindi wa promosheni hiyo kwa
mwenzi huu wa pili
Meneja uhusiano wa Airtel
Bwana Jackson Mmbando akiwaelekeza washindi wa Amka millionea namna ya kujaza
fomu zao uthibitisho wa ushindi mara baada ya kutangazwa washindi wa promosheni
hiyo kwa mwenzi huu wa
pili
Post a Comment