|
Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa akibadilishana mawazo na Waziri
wa Kazi na Ajira Mheshimiwa Gaudencia Kabaka wakati wa Mkutano wa halmashauri
kuu ya Taifa ya CCM ambapo leo semina juu ya Mikakati ya Kuondoa tatizo la ajira
nchini. |
|
Katibu wa
NEC,Uchumi na Fedha ,Zakia Meghji,akibadilisha mawazo na Katibu wa NEC,Itikadi
na Uenezi pamoja na Katibu Mkuu Ndugu Abdurahaman Kinana leo, Dodoma
. |
|
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Ndugu Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa wakati wa semina juu ya kuondoa
tatizo la ajira nchi. |
|
Katibu wa
NEC ,Itikadi na Uenezi na Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha wakijadili jambo la
ajira kwa nchi nzima wakati wa semina ya mikakati ya kuondoa tatizo la ajira
nchini, leo kwenye ukumbi wa NEC,Dodoma. |
|
Wajumbe
wakiwa kwenye semina ya Mikakati ya Kuondoa tatizo la ajira
nchini. |
|
Ally A.
Msaki akitoa mada juu ya HALI YA AJIRA NCHINI NA MIKAKTI YA SERIKALI kwa niaba
ya Waziri wa Kazi na Ajira,kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,
inayofanyika Dodoma leo. |
|
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia
kwa makini semina juu ya Mikakati ya kuondoa tatizo la Ajira Nchini |
on Monday, February 11, 2013
Post a Comment