Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwananyamala
Kisiwani wakiangalia madawati waliyokabidhiwa na benki ya NMB
Menejawa
NMB tawi la NMB House Benedictor Byabato akimkabizi Madawati yenye thamani ya
shilingi Milioni Tano mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani,
Method Rugambarara. Madawati hayo ambayo benki ya NMB imeyatoa ili kupunguza
uhaba wa madawati unaoikabiri shule hiyo .Makabidhiano hayo yalifanyika katika
viwanja vya shule hiyo jijini Dar esalaam.
Wanafunziwa
Shule Msingi, Ubungo Kisiwani wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na
benki ya NMB.
Post a Comment