Mkurugenzi wa
Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment, Phabian Duwe akifafanua
jambo wakati wa kutangaza tuzo za wapendanao zitakazofanyika Februari 14 kwenye
Hoteli ya Demag iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja
wa TMPE, Evelyn Munisi na Ludovick Mugasha. (Picha zote na Dande JR)
Mwanamuzi, Rogers Lucas
ambaye atatoa burudani katika utoaji wa tuzo za Wapendanao akionesha umahiri
wake wa kupiga gitaa wakati wa kutangaza tuzo kwa wapendanao zilizoandaliwa na
Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment ya jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Phabian Duwe na Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi
Post a Comment