Washiriki wa Miss
Utalii wakiwa wanacheza Sebene la nguvu kutoka kwa Akudo usiku
huu
Sasa hapa kiduku
kinakaribia kuanza
Hapana Chezea ma Miss
wewe , yani hapa full kudance Mambo ya Akudo
Huyu ni Rapa na
Mwimbaji wa Akudo akifanya mambo yake ya kuimba kwa ustadi wa hali ya
juu
Mpiga Ngoma pia
mwimbaji akifanya mambo hapa ya nguvu
Ebwana eeh Hapa Gitaa
linachalazwa mpaka basi
Ngoma zinapigwa mpaka
basi
Bado wapo hapa warembo
wakicheza Sebene la nguvu
Huyu Jamaa ni Hatari
sana anapiga gitaa saana
Sasa Vijana hapa Nao wa
Akudo hawakuwa Nyuma wametoa sapoti kubwa kwa Ma miss baada ya kucheza Ngoma kwa
Bidii zote
Post a Comment