Mh Waziri Mkuu Mizengo
Pinda akiwa na anajadiliana jambo wageni waliohudhuria mkutano wa kimataifa
kuhusu maji salama na safi. Kushoto ni Profesa Shem Wandiga kutoka chuo kikuu
cha Nairobi na katikati ni Mkurugenzi wa Maji safi na salama Duniani Profesa
Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS nchini Marekani mkutano huo wa
siku tatu unafanyika mjini Arusha.( Picha na Chris
Mfinanga).
Mh Waziri Mkuu Mizengo
Pinda akiwa anajadiliana jambo na Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayansi na
Teknolojia cha Mandela Profesa Burton Mwamila pamoja na Mkurugenzi mkuu wa maji
safi na salama Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS kilichopo
nchini Marekani.
Mh Waziri Mkuu Mizengo
Pinda katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano
huo.
Post a Comment