Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MH. SOSPETER MUHONGO NCHINI AKUTANA NA WATANZANIA UINGEREZA...!!!


Waziri wa Nishati na Madini Mh. Sospeter Muhongo alipata fursa kuongea na Watanzania waishio Uingereza katika mwaliko rasmi kutoka serikali ya Uingerza. Katika ziara yake nchini Uingereza Mh Sospeter Muhongo ameambatana na Bw. Athanas Macheyeki, Bw. Seleman Hatibu na Bw. Sosthenes Massola.

Mh. Muhongo aliwaeleza Watanzani suala zima la gas na jinsi gani serikali itavyotumia gas hiyo kuleta maendeleo ya nchi. Amesema “serikali itahakikisha kuwa kila kijiji kinapata umeme na mpaka kufikia mwaka 2025 nchi ya Tanzania itaondoka na umasikini”. Aliendelea kusema kuwa bila ya umeme hatutoweza kutoa umasikini hivyo wizara yake itatafuta miundo mbinu ya kisasa ili kuwezesha suala zima la matatizo ya umeme linaondoka. Pia amesema wizara yake itaangalia tena ufumo wa Tanesco na kuanzisha idara zingine ambazo zitashirikiana na zitawezesha kutatua matatizo yanayoikabili Tanesco.

Vilevile Mh Muhongo aliwataka wawekezaji wa Kitanzania waweze kuwekeza katika sekta ya nishati na madini.

Habari na Ally Muhdin- London

Mh. Balozi Peter Kallaghe

Mh. Peter Kallaghe akimkaribisha mgeni rasmi Mh. Sosper Muhongo kuongea na watanzania

Mh. Sospeter Muhongo akiongea na watanzania

Mama Balozi Joyce Kallaghe pia alikuwepo

Naibu Balozi Chabaka Kilumanga na watanzania waliohuduria wakifuatilia mkutano kwa makini

Wadau mbali mbali waliohudhuria mkutano huo wakisikiliza kwa makini

Meya wa London Haruna Mbeyu (kushoto) na Mwenyekiti wa Watanzania London Said Surur (kulia) wakifuatilia mkutano

Waziri Muhongo akiendelea kumwaga sera

Kutoka kushoto Freddy Macha, mdau na Ma Nelly

Mkutano ukiendelea

Hussein Kova nae alikuwepo


Mdau akiuuliza swali

Katibu wa CCM UK Bi Mariam Mungula (kulia) akisikiliza kwa makini


Frank Eyembe wa Urban Pulse akiwa kikazi zaidi







Eddie nae alikuwepo


Waziri Muhongo akifafanua jambo huku Balozi Kallaghe akisikiliza kwa makini


Maswali yakiendelea


Mariam Mungula akimwaga sera zake






Waziri Muhongo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa CCM London Bi Mariam Mungula pamoja na Meya wetu Haruna Mbeyu
Said Surur (kulia) na wadau wakiwakilisha ipasavyo

Minah, Hussein Kova pamoja na wadu wengine katika picha ya pamoja na Mh. Waziri

Mh. Balozi Kallaghe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakina dada wakitanzania walio hudhuria mkutano huo

Mariam Mungula akiwa katika picha ya pamoja na Mh. Balozi Peter Kallaghe na Naibu Balozi Chabaka Kilumanga

Mh. Muhongo akiteta jambo na mdau Eli

Mdau Eddy katika picha ya pamoja na Mh. Muhongo

Ally Muhdin katika picha ya pamoja na Mh. Balozi































Image Credit: Ally Muhdin
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top