Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda Azindua mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika

 


Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) akijadiliana jambo na wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika (katikati) Mkurugenzi wa kiwanda cha Twiga Cement Kanda ya Africa Mashariki, Pascal Lesoinne (kushoto) Mkurugenzi wa b ashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko. Mkutano huo wa siku mbili umeanza jijini Dar es Salaam Ferbruari 26.
Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko akijaongea na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni ya Taifa TBC wakatika wa Mkutano huo.
Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko (katikati) akijadiliana jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Camel Oil Abdallah Nahdi (kulia) na Mshauri wa Biashara wa Kampuni ya Zabol Cement Arash Ehsanfar katika mkutano wa wadau wa viwanda vya cement tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika uliofanyika Dar es Salaam Februari 26 2013. Mkutano huo wa ni wa siku mbili
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika Dar es Salaam Februari 26 2013.Picha Zote na Chris Mfinanga
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top