Jeshi la Polisi Kanda
Maalum ya dare s Salaam limewafukuza kazi askari watano kutokana na makosa
mbalimbali ya kinidhamu yanayotokana na wizi wa fedha shilingi milioni 150
uliotokea eneo la Kariakoo lililofanyika tarehe
14/12/2012.
Katika tukio hilo askari
hao walihusika katika ukamataji wa watuhumiwa na vielelezo na ndipo ilipodaiwa
kielelezo (pesa) kilipotea na askari hao kuhusishwa na upotevu
huo.
Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amewataja askari hao kuwa ni SSGT Dancan,
CPL Rajab, CPL Cavin, CPL Geofrey na CPL
Kawanami.
Post a Comment