MENU
HOME
Contact Us
Featured
KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light
Featured Posts
Loading...
Home
»
Unlabelled
»
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA YA KUSINI UNGUJA KATIKA PICHA
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA YA KUSINI UNGUJA KATIKA PICHA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wakati alipowasili
katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia
athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara mkoa wa kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wakati alipowasili
katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia
athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Kilimo na Maliasili wakati alipowasili katika bonde la Mpunga la
Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia athari za kilimo cha
Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya wananchi na Wakulima wa
Muyuni,kutoka wa Marium Mwinyi, alipofika katika shehia hiyo
kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua
kali,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana, [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wakulima wa
Muyuni,alipofika katika shehia hiyo kuangalia athari za Kilimo cha
Mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa katika ziara ya
Mkoa wa Kusini Unguja jana, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipanda mche wa mnazi mbele ya jengo la Jumuiya
ya Tuishi la vikundi vya ushirika vya Akina mama wa Jambiani Mbuyuni
Shehia ya Kibigija, alipofika kukagua ujenzi wa Jengo la jumuiya
hiyo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mbunge wa Jimbo la Muyuni CCM,pia Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Mahadhi Juma Maalim,alipokuwa akitoa
tamko la mchango wake wa Shilingi Millioni mbili za Kitanzania,wakati
wa Harambee ya kukamilisha Ujenzi wa jengo la Jumuiya ya Tuishi
Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, katika ziara ya Rais , Mkoa wa
Kusini Unguja jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Afisa Tawala wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Ayoub Mohamed Mahmoud,akimkabidhi Fedha Dola za Kimarekani Mia tatu,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,wakati wa harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Jumuiya ya
Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija,aliyoiitisha katika ziara
ya Mkoa wa Kusini Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa idadi ya fedha zilizochangwa
wakati wa harambee kukamilisha ujenzi wa jengo la Jumuiya ya Tuishi
Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija,alipofika kuangalia maendeleo ya
Ujenzi wa Jengo hilo jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja
jana,ilifikia shilingi za Kitanzania Milioni ishirini na tano,laki
tatu na arubaini na sita elfu. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
on Tuesday, March 12, 2013
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
BLOG RAFIKI
Global Publishers
Dkt. Biteko: Serikali Itaendelea Kuboresha Huduma Za Uhamiaji
2 hours ago
JIACHIE
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA UKIMWI NJOMBE
6 hours ago
MTAA KWA MTAA
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA UKIMWI NJOMBE
6 hours ago
MICHUZI
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA UKIMWI NJOMBE
6 hours ago
Mtanzania
Usaili wa kada ya ualimu kuanza Januari 14 hadi 24, 2025
7 hours ago
CCM Blog
WAZIRI SIMBACHAWENE ATANGAZA ZAIDI YA AJIRA 14, 000 ZA UALIMU
7 hours ago
Voice of America
Jeshi la Sudan limesema linapata mafanikio ya kuukamata tena mji wa Wad Madani kutoka kwa mahasimu wake wanamgambo wa Rapid Support Forces.
8 hours ago
Wazalendo 25 Blog
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
4 days ago
BUKOBAWADAU
Mushemba Foundation Yagusa Maisha ya Wengi Yatoa Misaada Kuelekea Krismasi
3 weeks ago
SUFIANIMAFOTO
BRAC MAENDELEO YAJIZATITI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA VIJANA NCHINI
2 months ago
Blogu ya Wananchi
3 years ago
Mwanaspotimwanzo
Kisa Simba, Yanga yamsimamisha mwanasheria wao
4 years ago
Mwananchimwanzo
Magufuli awatuliza wabunge nafasi za uwaziri
4 years ago
JESTINA GEORGE
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
5 years ago
LUKAZA
Premier Bet waja kivingine na Footbal Jackpot King na Cash Out
5 years ago
Chadema Blog
Hotuba ya Lissu; azungumzia kukoma Ubunge, atangaza hatua zinazofuata
5 years ago
Masama Blog
Canon IR-2525 Treiber Drucker Download
6 years ago
EMMANUEL SHILATU
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku
6 years ago
JUMA MTANDA
MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
6 years ago
AUDIFACE JACKSON BLOGSPOT
6 years ago
BongoClan™
PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA HOMETHEATER KUTOKA BONGODECO,PIGA 0658184797 / 0752184797
6 years ago
HANDENI KWETU
Muriya: Makazi yetu Oman ni fursa za kiuchumi kwa watu wote
6 years ago
Sports & Entertainment Blog
Huu ndio mpira utakaotumika Kombe la Dunia 2018
7 years ago
PropertyFinder.co.tz - Tanzania property and accommodation directory | Listings from LICENSED real estate agents (zamani TZadverts.com)
Shop To Let located at corner Congo and Muhoro St. Kariakoo. (USD 0)
7 years ago
dj sek
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI
8 years ago
Mbeya Yetu
TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI
8 years ago
JANJARUKA
KAHABA MJAMZITO ANASWA AKILIWA URODA NA MCHUNGAJI
8 years ago
Raia Mwema | Gazeti la Tanzania lenye habari na makala mbalimbali
HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
Mwanzo - BBC Swahili
JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Home
Show 5
Show All
Popular Posts
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 HAYA HAPA
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika...
WANACHAMA WA FREEMASON TANZANIA HAWA HAPA
Sir Andy Chande akiwa na wenzake wakipanda Miti jijini Tanga kama moja ya shughuli zao za kijamii Tanzania ina wanachama hai...
PICHA ZA NGONO TANZANIA ZINAHAMASISHWA NA MASTAA WA BONGO?.
Kadri siku zinavyozidi kwenda vinaibuka vyanzo kibao vinavyosababisha kushamiri kwa ngono za wazi mbele ya maelfu ya wananchini wa T...
Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi
Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mim...
Picha hizi za Wema Sepetu akipata Penzi Moto la Diamond ndio zinakimbiza Instagram na Mitandao Yote
Dayum ! Wema Sepetu is showing off a new bald look. Wema Sepetu with her One & Only Naseeb Abdul ‘Diamond Platnum...
© Copyright
EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Post a Comment