Balozi
wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizindua rasmi muonekano mpya
wa Bidhaa za American Garden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway
International Limited, Murtaza Faizal
Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) na Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi rasmi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Grden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Marekani, Alfonso Lenhardt akizungumza na wageni waalikwawakati wa
hafla ya muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano
mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International
Limited, Murtaza Faizal.
Wasanii wa Integreted Comunication Limited wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa muonekano
mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International
Limited, Murtaza Faizal.
Balozi
wa Marekani, Alfonso Lenhardt akizungumza na waandishi wa habarimara
baada ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Post a Comment