Mshindi wa pili wa tuzo za
Mwanamakuka bi Leila Mwambungu (katikati) akifurahi kwa pamoja na
Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) wakati wa kukabidhiwa
mfano wa hundi ya shillingi million tatu mara baada ya kuibuka mshindi
wa pili wa tuzo za mwanamakuka . Akishuhudia kushoto ni Mke wa makamu
wa raisi Asha Bilali na wa pili kushoto ni mwenyekiti wa Unit of women
Friends Esther Wakati.
Afisa uhusiano wa Airtel
Jane Matinde(kulia) akikimkabidhi mshindi wa pili wa mwanamakuka bi
Leila Mwambungu mfano wa hundi ya shillingi million tatu mara baada ya
kuibuka mshindi wa pili wa tuzo za mwanamakuka . wakishuhudia kulia
katikati ni mwenyekiti wa Unit of women Friends Esther Wakati, kushoto
ni msimamizi wa mwanamakuka award Maryam Shamo akifatiwa na Mke wa
makamu wa raisi Asha Bilali
Balozi mstaafu bi Mwanaidi
Maajar (katikati) akitoa mkono wa shukrani kwa Afisa Uhusiano wa
Airtel bi Jane Matinde kuishukuru Airtel Tanzania kwa kudhamini tuzo za
Mwanamakuka 2013. Wakishuhudia ni Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali
na wa pili kushoto ni mwenyekiti wa Unit of women Friends Esther
Wakati.
Mwenyekiti wa Unit of
women Friends Esther (kushoto) akikabidhi Afisa uhusiano wa Airtel Bi
Jane Matinde cheti cha shukrani kwa Airtel kushiriki na kudhamini tuzo
za mwanamakuka kwa mwaka 2013. Akishuhudia ni mtunza fedha Mwate Madinda
Waandaaji na wadhamini wa
tuzo za mwanamakuka 2013 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Mke wa makamu wa raisi Asha Bilali wakati wa sherehe za tuzo hizo.
Post a Comment