Picha ya Marehemu enzi za
uhai wake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, WP Elikizaeli
Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa
hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge
jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Prince David,
mtoto wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, marehemu WP Elikizaeli Lokisa
Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa
hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge
jijini Dar es Salaam jana.
Kutoka (kulia) ni Mume
wa Marehemu, David Erasto Luharara, watoto wa marehemu, Prince David na
Abdulhaman David, wakiwa na huzuni.
Baadhi ya waombolezaji
wakiwa nyumbani kwa marehemu kuomboleza msiba huo.Picha na Ofisi ya Makamu Wa
Raisi
Post a Comment