Hizo hapo juu Picha ambazo
Bendera ya Tanzania inaonekana ikipeperushwa kati ya Bendera nyingi za mataifa
mbalimbali duniani. Watanzania walikuwepo wakituwakilisha kama Taifa, na
tujuavyo Bendera ya taifa ni kitambulisho rasmi cha taifa. Tukio hili la
kimataifa na lajumuisha mataifa mbamali na kila taifa linajivunia utaifa wake
kati ya mataifa mbalimbali duniani.
Kutawazwa Pope Francis leo huko Rome, Tanzania iliwakilishwa, kiainisho cha taifa leti kikipepea kumpungia upepo Pope Mpya.
Inaelekea Afrika Mashariki na Kati ndio nyumbani kwa Wakatoliki wengi barani Afrika nchi ambazo kwenye ramani hapo chini zinaonyesha idadi ya mataifa yenye wakatoliki wengi duniani, na kwa west Afrika inayoonekana kuwa na wakatoliki wengi ni Nigeria pekee. Hatushangai kuona Bendera ya Tanzania ikimpungia upepo Pope Mpya kule St. Peter's Square, Vatican Cyty, Italy
Post a Comment