Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry (wa pili kulia)
akipokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa
Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo (kulia) kwa niaba ya Waziri Dkt.
Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndeege wa Kimataifa wa
Mwl. JK Nyerere jijini Dar. Wa Pili kushoto ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa
nchini Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry na Mratibu Mkazi wa
Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou wakielekea katika chumba maalum cha
wageni maalum kwenye Uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akibadilishana mawazo
baadhi ya maafisa mbambali wa Wizara.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akizungumza na mwenyeji
wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na
Biashara Odilo Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry katika tete a tete na
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akipitia moja ya
magazeti maarufu nchini Tanzania la The Citizen ambalo limeandika habari
kuhusiana na mkutano aliokuja kuhudhuria. Kushoto ni Dkt. Alberic
Kacou.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akisaini daftari la
wageni katika chumba maalum cha wageni maalum mara baada ya kuwasili
nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiteta jambo na
Mkurugeni Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou wakati akijiandaa
kuondoka katika Uwanja wa ndege. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara
na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo
Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiingia kwenye gari
maalum kuelekea hotelini.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiwasili hotelini na
kulakiwa na baadhi ya maofisa wa WIPO.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property
Organization (WIPO) Francis Gurry akipewa maelekezo machache kuhusiana na
taratibu za mkutano wa kujadili Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika
katika mkutano nchini Tanzania.Picha
Zote na Zainul Mzige wa Mo Blog.
Mkurugenzi Mkuu wa World
Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry amewasili nchini
Tanzania leo kuhudhuria mkutano utakao zungumzia pamoja na mambo mengine
Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika.
Katika Mkutano huo wa siku
mbili unaotarajiwa kuanza kesho pia wadau watazungumzia nafasi ya WIPO katika
Kuchochea Maendeleo barani Afrika.
Mkutano huo
utakaohitimishwa kesho kutwa utamalizika kwa kwa kuwa na kipindi cha majadiliano
na kutoa maoni, ambapo wadau watatoa mitazamo yao kuhusiana na ajenda
zilizowasilishwa na kutafuta mwelekeo wa
pamoja.
Post a Comment