Rais wa Tanzania, Dkt.
Jakaya Kikwete na Rais wa China, Xi Jinping, wakiwashuhudia mawaziri wa
Tanzania, Bernald Membe wa China, wakitiliana saini mkataba, wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
Mawaziri wa China na
wawakilishi wa China wakisubiri kutiliana saini na Mawaziri wa
Tanzania.
Rais wa Tanzania, Dkt.
Jakaya Kikwete na Rais wa China, Xi Jinping, wakiwashuhudia mawaziri wa
Tanzania, Prof. William Mgimwa na wa China, wakitiliana saini mkataba, wakati wa
hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
Rais Jakaya Kikwete na
mkewe, Rais wa China na mkewe, wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wa rais
Jakaya, Ridhwan Kikwete, baada ya hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu
juzi usiku.






Post a Comment