Meneja Mawasiliano
wa Vodacom Tanzania Rukia
Mtingwa (kulia)akimkabidhi Ramadhani Kibanike mfano wa hundi ya Sh5 milioni
nyumbani kweke Tabata Mawenzi mara baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya
Mahela inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Katikati ni
mwanaye.
Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa, akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni
alipofika Tabata Mawenzi,kumkabidhi Bw.Ramadhani Kibanike(kushoto) alieibuka
mshindi wa shilingi Milioni 5 katika Promosheni ya”MAHELA”inayoendeshwa na
kampuni hiyo,mpaka sasa zaidi ya shilingi Milioni 240 zinaendelea
kushindaniwa.
Vodacom Tanzania
Internal Affairs Manager, Rukia Mtingwa (rights) coordinates the Mahela
Promotion Draw being held by Vodacom. Rukia, together with her colleagues and
members of the media, had visited Tabata Mawenzi, to handover a check to one of
the winners. More than Ths240 million is waiting to be
won.
Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa (kulia)akichezesha droo ya promosheni ya
Mahela unayoendeshwa na kampuni hiyo eneo la Tabata Mawenzi,Zaidi ya shilingi
Milioni 240 zinaendelea kushindaniwa
Post a Comment