* Ni baada ya kualikwa kuongoza harambee ya kuchangia miradi ya maendeleo Wilayani Butiama
Mke wa Baba wa Taifa,Mama
Maria Nyerere na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa wakiwasili kwenye hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa
miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya Padri
Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari,iliyofanyika mwishoni mwa wiki
kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Rais wa Bodi ya Mradi
huo,Dkt. Patrick Mugoya.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa akizungumza machache kabla ya kuanza harambee ya kuchangisha
fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara
chini ya usimamizi wa Padri Wojciech Adam (hayupo pichani) wa kanisa Katoliki la Kiabakari lililopo wilayani
humo,Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa
miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya Padri
Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari,iliyofanyika mwishoni mwa wiki
kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee
hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari
akitoa historia fupi ya mradi huo toka kuanza kwake mpaka walipofikia wakati
wa hafla ya harambee ya kuchangisha
fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa
Mara,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam.ambapo Mgeni Rasmi katika harambee hiyo,alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa.
Mbunge wa Jimbo la Musoma
Vijijini,Mh. Nimrod Mkono akizungumza machache wakati wa kukabidhi mchango wake
na kuahidi kuendelea kuchangia ili kuhakikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo
katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara inafanikiwa huku akisikilizwa kwa makini
na Mgeni Rasmi wa Harambee hiyo,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria
Nyerere.
Mbunge wa Jimbo la Musoma
Vijijini,Mh. Nimrod Mkono akikabidhi mchango wake kwa Mke wa Baba wa Taifa,Mama
Maria Nyerere huku akisaidiwa na Mgeni Rasmi kwenye hafla hiyo,Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkaribisha Brigedia
Jenerali,Zoma Kongo kukabidhi mchango wake kwa Mama Maria Nyerere kwa ajili ya
kufanikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa
Mara.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama
Maria Nyerere akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha za
ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni
ya Free Media,Ansbert Ngurumo ampa mkono Mama Maria Nyerere mara baada ya kutoa
ahadi yake ya kuchangia ujenzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama
mkoa wa Mara.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkabidhi picha Boss Mkuu wa
Mgahawa wa BreakPoint mara baada ya kununua kwenye mnada aliouendesha yeye
mwenyewe.Katikati ni Mke wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere.
Padri Wojciech Adam wa kanisa Katoliki la Kiabakari
akipeana mkono na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini,Mh. Nimrod
Mkono.
Rais wa Bodi ya Mradi huo,Dkt. Patrick Mugoya
akizungumza machache kwenye hafla hiyo.
Meza
kuu.
Mke wa Baba wa Taifa,Mama
Maria Nyerere (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa (kulia) wakiwa kwenye hafla ya kuchangisha fedha za ujenzi wa
miradi ya maendeleo katika wilaya ya Butiama mkoa wa Mara chini ya Padri
Wojciech Adam (katikati) wa kanisa Katoliki la Kiabakari,iliyofanyika mwishoni
mwa wiki kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wadau Mbali mbali
waliohudhulia hafla hiyo.
NA ISSA MICHUZI
MATUKIO
Post a Comment