Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh
Raymond Mushi (Mwenye Miwani) akiwa meza kuu na Meneja wa Kinywaji Cha Safari
lager Oscar Shelukindo (Mwenye Kofia) katika kushuhudia Fainali za safari lager
nyama choma zilizofanyika jana katika viwanja vya leaders
Mkurugenzi wa Titanic Bar
Bw. Amir Juma Kidula akipokea Pesa taslimu shilingi Milioni 1 na Cheti kutoka
kwa Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Raymond Mushi mara
baada ya bar yake kuibuka Mshindi wa Kuchoma Nyama wa Kuchoma Nyama jijini Dar
katika fainali za Safari lager Nyama Choma zilizofanyika Jana kwenye viwanja vya
leaders
Amir Juma Kidula
akionyesha pesa taslimu na Cheti alichokabidhiwa baada ya Bar yake kuibuka
mshindi wa Kwanza katika Fainali za Safari lager Nyama choma zilizofanyika jana
katika viwanja vya leaders
Wafanyakazi na Wadau wa
Titanic Bar kutoka Vingunguti wakimpongeza Mkurugenzi wa Titanic Bar baada ya
Kutangazwa Mshindi hapo jana
Wanenguaji wa Bendi ya
Twanga Pepeta Wakijituma jukwaani katika fainali za safari lager nyoma
zilizofanyika katika viwanja vya leaders hapo jana
Muimbaji wa Twanga pepeta
Akitoa burudani katika viwanja vya leaders hapo jana katika fainali za nyama
choma
Vijana wa Sarakasi
wakionyesha uwezo wao katika fainali za safari lager nyama choma zilizofanyika
katika viwanja vya leaders hapo jana
Sehemu ya Bar
zilizohudhuria katika fainali hiyo ya Safari lager Nyama Choma zilizofanyika
Jana katika Viwanja Vya Leaders
Sehemu ya Umati
uliohudhuria katika fainali za Safari Lager Nyama Choma Zilizofanyika Jana
katika Viwanja Vya Leaders
Post a Comment