Sehemu ya mbele ya gari ikiwa imefunguliwa kwa uchunguzi
zaidi
Picha chini :Askari polisi akilinda sehemu ya madawa ya kulevya
yaliyotolewa kwenye gari hiyo
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa Waziri wa mambo ya
ndani Dr. Emmanuel Nchimbi amewasimamisha kazi badhi ya maofisa wa polisi kwa
upotevu wa madawa ya kulevya uliotokea mwaka jana 2012 mkoani Mbeya katika
mazingira ya kutatanisha.
Baadhi ya maofisa hao ni kamanda wa kikosi cha upelelezi mkoani Mbeya
(RCO) Elis Mwita, naibu RCO Jacob Kiangi na mkuu wa kikosi cha FFU Charles
Kinyongo.
Post a Comment