Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida B. Korosso akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano wa wadau kuhusiana na Taarifa ya Tume yake juu ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania. 
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akifungua mkutano wa wadau wa sheria ya ardhi uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bw. Albert Msangi akiwasilisha taarifa ya Utafiti juu ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania. 
Baadhi ya wadau wa sheria ya ardhi wakiwa katika mkutano.
Washiriki wa mkutano wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya Tume juu ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania. 
Kamishna wa Tume Mh. Jaji Mstaafu Ernest Mwipopo akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo Mpya wa Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Tanzania. 
Wadau wa sheria wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Mujulizi wakati wa mkutano wa wadau wa sheria ya Ardhi.


Post a Comment