Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia) akizungumza wakati wa
kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo
(jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni
Wajumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu (katikati) na Suleiman
Ali.
Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Humphery Polepole (aliyesimama) akizungumza wakati wa
kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika leo
(jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni
Wajumbe wa Tume, Simai Mohammed na Dkt. Adrian Sengondo
Mvungi.
Makamu Mwenyekiti wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani (kulia)
akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba
Mpya kilichofanyika leo (jumanne Machi 26, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed
Salim.

Post a Comment