Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua
maji ya Mfereji kuzinduia Mradi wa Maji Safi na Salama wa Kijiji cha
Chwaka,Wilaya ya Kati Unguja, alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali
mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akimtwisha ndoo ya maji Asha Mohamed Abdulla,wa Kijiji cha Chwaka,mara
baada ya kuzindua Mradi wa Maji Safi na Salama, Sherehe ya ufunguzi wa Mradi huo
umefanyika Kijijini hapojana,alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali
mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chwaka,Wilaya ya Kati Unguja,wakati wa
sherehe ya uzinduzi wa Mradi wa Maji Safi na salama jana,alipokuwa katika ziara
ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini
Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,(katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,Ramadhan Abdalla
Shaaban,(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Vuai Mwinyi,na Viongozi
wengine wakielekea katika viwanja vya mpira Chwaka katika mkutano na Wananchi
baada ya kuzindua rasmi Mradi wa maji safi na Salama,Kijijini hapo jana,ziara ya
kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini
Unguja
Wazee wa Kijiji cha
Chwaka wakiwa na fuaraha kubwa na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi
wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Mradi wa Maji Safi na salama Kijijini hapo jana
alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa
wa Kusini Unguja.Picha Zote na Ramadhan Othman
Ikulu-Zanzibar
Post a Comment