Moshi wa mabomu ya
machovu kwa mbali,Mabomu na risasi za moto zilirindima eneo la kawe jana baada
ya wananchi kuvamia kituo cha polisi baada ya muendesha bajaji mmoja kuwawa na
mwanajeshi wa jeshi la wananchi wa tanzania hali iliyowalazimu polisi kutumia
nguvu kupambana na wavamizi hao.
Waandamaji waliamua
kufunga barabara kwa kupanga magogo na vitu vingine wakati wa mapambano hayo na
jeshi la polisi
endelea kupitia audifacejackson blog
endelea
kupitia audifacejackson blog
Post a Comment