Gari hilo Mark II T902 CHF likionekana kwa nyuma baada ya ajali hiyo.
Mkazi huyu wa Dar es Salaam akipiga picha gari hilo baada ya kuharibika vibaya.
Ajali Hii
iliyo yahusisha magari Madogo mawili Toyota Mark II, namba za Usajili
T203 AFR iliyokuwa ikiendesha na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina
moja la Halima ambaye ni Mfanyakazi wa Pricewater cuper ya Masaki jijini
Dar es Salaam na Toyota Mark II Grand T902 CHF iliyokuwa ikiendeshwa na
Nicholas Fernandes mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
on Thursday, April 4, 2013
1 comments:
Post a Comment