![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ0bFBSdTwX5tpzq1ixwMeqcXwKlvZzY9A27zjis11kpGxcBrzCMy6t9buNCNXn0KIMJ1gYc1uUFX51gISbzI0T0HR14THBIbcCdJIUZfUXUo8YiIboStUPFgba29YZgDJG1_TGzYSYxME/s640/b+kidude.jpg)
MSANII
WA MUZIKI WA TAARABU NCHINI TANZANIA KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR FATUMA
BINT BARAKA MAARUFU KAMA BIBI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA LEO HUKO VISIWANI
ZANZIBAR.
BI. KIDUDE AMEFIKWA NA MATUTI HAYO LEO KUTOKANA NA MARADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA KWA MUDA MREFU.
BI. KIDUDE AMESHAWAHI KUFANYA KAZI NYINGI IKIWEMO
MHONGO WA JANG'OMBE, KIJITI, ALAMINADURA, YA LAITI, AHMADA NA NYINGINE
NYINGI.
HABARI KAMILI YA MSIBA HUO ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.
Post a Comment